Casino sportpesa

Casino sportpesa

{H1}

Hello people, mambo vipi jamani. Baada ya kimya cha muda mfupi leo SportPesa blog pamoja na Sportpesa Casino tumerudi na mchezo wenu pendwa wa Kasino. Hapa nazungumzia mchezo wa kimtandao wa Casino wa Aviator unaopatikana katika tovuti yetu ya thisisnl.nl

Aviator ni aina moja ya toleo la mchezo katika michezo ya kasino ambao kila mtu anapambana kuufahamu kutokana na umaarufu na sifa zake katika tasnia ya michezo ya ubashiri na kasino.

Historia ya mchezo huu inaanzia mwaka ambapo ndipo ulipotambulishwa rasmi, kwa mara ya kwanza katika tasnia ya michezo ya Casino.

 

Tangia hapo umaarufu wa mchezo huu umezidi kukua maradufu na kuwa mmoja wa michezo inayopendwa zaidi katika jamaii ya michezo ya crash games.

Kama ambavyo ilivyozoeleka katika michezo karibu yote yenye vinasaba na michezo ya Kasino, mchezo huu hauna vipengele tulivyovizoea kama maduara (Reels), alama (symbols) na mistari ya malipo (paylines), ingawaje kuna urahisi kidogo kwenye namna ya uchezaji kama michezo mingine inavyofanya kazi.

AviatorKuna tofauti kubwa kati ya michezo ya meza na Aviator, namaanisha michezo kama blackjack. Roullete, Poker na mingine ya mashine, ambapo katika michezo ya meza kuna visheria na mikakati katika uchezaji wake, kitu ambacho katika mchezo huu mchezaji itabidi acheze mara kwa mara ili aweze kuuelewa vizuri baada ya muda.

NINI KINAUFANYA MCHEZO WA AVIATOR KUWA MAARUFU

Kama nilivyosema hapo awali, ili mchezaji mpya aendane na mchezo huu itampasa kuucheza mara mbili au tatu, ili kuweza kuufahamu namna unavyochezwa kabla ya kuupenda rasmi.

Sijui kama kuna mchezo wa kasino ambao umerahisishwa kama huu. Hii ndio sababu ya mchezo huu kupendwa sana na wachezaji wa michezo hii aina ya (crash game).

Kwa namna ambavyo mchezo huu umepangiliwa, mchezaji akishaingia katika kurasa ya mchezo huu kwa kutumia kifaa chake anachotumia, iwe simu, kompyuta mpakato, kishkwambi au kompyuta ya mezani, basi ataona ndege ikipaa kuelekea juu mpaka pale ambapo itakapoanguka. Hapa mchezaji atahitajika kufanya maamuzi ya ku cash out pesa yake kabla ya ndege kuanguka.

Ili kuweza kuumudu vizuri mchezo huu na kuleta matokeo chanya kwa wachezaji, kitu muhimu kuliko vyote mchezaji au wachezaji wanatakiwa wawe nacho au wakitumie ni namna ya kubalansi hisia za matukio katika mchezo huu na kasi ya kufanya maamuzi kabla ndege haijaanguka.

Mchezaji utatakiwa kuwa makini wakati ndege inaanza kupaa na kupiga hesabu za haraka ni katika hatua ipi ama umbali upi baada ya ndege kupaa ufanye maamuzi ya kuisimamisha mchezo ndani ya wakati muafaka.

Ikiwa mchezaji utashindwa kusimamisha ndege ya Aviator kabla haijaanguka na ikatokea ikaanguka basi mchezaji utakuwa umepoteza pesa yako.

Aviator photoCha muhimu kuzingatia ni kwamba kama ambavyo michezo hii ukiwa unacheza unaweka pesa yako, basi utatakiwa kuwa makini maradufu pale unapokuwa unacheza mchezo huu, haswa pale utakapohitajika kufanya maamuzi ya kustopisha Aviator au kutoa pesa yako.

KWA NINI MCHEZO WA AVIATOR UNATOFAUTI NA MICHEZO MINGINE

Kama ambavyo sifa za mchezo huu zinavyojieleza hivyo kupelekea mchezo wa Aviator kupendwa sana. Mchezo wa Aviator una sifa za kipekee zinazoufanya uwe na utofauti na michezo mingine ya Kasino.

Vile vile upekee wa mchezo huu, unachagizwa pia na vipengele vya kufurahisha ambavyo vinautofautisha na michezo mingine, ikiwemo kipengele cha wachezaji kuchati. Mambo haya ya kijamii ndio ambayo yamepelekea mchezo huu kuwa na mapokeo chanya.

Wachezaji wetu wamewekewa eneo lao ambalo wakati wanacheza wanaweza kuchati kwa kuulizana maswali, kuelekezana na hata kushauriana. Ni katika eneo hili kila mchezaji anaweza kuona mwenzake anacheza na dau la kiasi gani na pia kiasi ambacho amepata au kutoa.

Upekee wa mwisho unaofanya mchezo huu wa Aviator wa SportPesa kuwa tofauti na wa makampuni mengine ni kwamba wachezaji watakuwa wakipewa Free Bet.

Michezo hii ama raundi hizi za bure zitakuwa kama bonus na zitatakiwa kuchezwa na wachezaji pale zitakapokuwa zimetolewa na zitakuwa hai kwa kipindi ama muda ambao utawekwa. Mathalan inaweza ikawa nusu saa au lisaa limoja.

Aviator picKwa jinalingine zinaitwa Mvua ya zawaid (Rain Giveaways). Zawadi hizi za kucheza bure zitakuwa zikitolewa kwa wachezaji ambao wapo kwenye jumuia ya kuchati.

Ni matumaini tutakuwa tumewapa hamu ya kuujaribu mchezo huu wa Aviator na kuangalia namna unavyoweza ukakufaidisha ndugu mteja.

Kuucheza mchezo huu tembelea tovuti yetu thisisnl.nl, angalia kitufe kilichoandikwa Kasino. Itafunguka kurasa ya kasino na utauona mchezo huo ukiwa wa kwanza kabisa.

 

Share This

Источник: thisisnl.nl